Wednesday, May 1, 2024

Eeendelea tuu kujidanganya unalala usiku na mavinyongo na mahyper na mastress wakati biblia inasema ya kwamba jua lisichwe hasira iko kifuani mwako .

Eeendelea tuu kujidanganya unalala usiku na mavinyongo na mahyper na mastress wakati biblia inasema ya kwamba jua lisichwe hasira iko kifuani mwako .

Endelea kuweka mipaka huko chumbani na unakataa kumhufumia mme wako utahudumiwa na mapepo mahaba .

Nafasi ambayo mme wako anatakiwa aichukuwe wewe unakaribisha vinyongo na hasira na kiburi na mipaka na uchoyo wa unyumba . 

Ni hivi kqdri unavyojikasirisha ndivyo adui anapata nafasi na pepo mahaba anakuja vizuri usiku kukunaliza wee ulie mkaidi kwa mmeo au mkeo .

Usiku mwema .

Samehe na kuwa huru furahia ndoa yako acha stress.

No comments:

Post a Comment